PyCon 2022
Mkutano wa Python (PyCon)
Ni mkusanyiko wa kila mwaka wa watumiaji wa lugha ya programu ya Python nchini Tanzania unaojumuisha watengenezaji programu, wanasayansi wa data, wachambuzi data & wanateknolojia kutoka mashirika mbalimbali. Mkutano huo umeandaliwa na wanachama wa Python Tanzania Users Group, jumuiya inayojihusisha na kuendeleza matumizi ya lugha na teknolojia ya Python nchini Tanzania.
PyCon 2022
Tarehe & Wakati
05 - 08 Dec 2022
09:00 AM to 05:15 PM
Mahali
State University of Zanzibar Auditorium(SUZA), Zanzibar
Jiunge Nasi kwa Wiki Moja ya
Warsha, mawasilisho/mazungumzo ya kiufundi, mazungumzo ya haraka, hackathons, maonyesho ya utafiti, ushirikiano wa jamii, na kufahamiana.
Timu ya Maandalizi
Timu ya kamati ya maandalizi ya PyCon Tanzania ni wanajamii wenye uzoefu wa mfumo wa kiteknolojia ambao hapo awali walijitolea kama waandaji wa mikutano mbalimbali ya teknolojia zaidi ya tukio la PyCon Tanzania pekee.